Karibu Darasani

Chagua ikisha bofya darasa unalotaka kuingia

Hii ni coaching program inayosimamiwa na Dr. Said mwenyewe kwa lengo la kukusaidia kukuza biashara yako kufikia faida ya milionia 5 au zaidi kila mwezi. Utajifunza hatua 6 za kufuata kuweza kukuza biashara yako huku Dr. Said akikuongoza kila hatua.

INGIA DARASANI

AKA Milioni kwa Mwezi. Hii ni program itakayokuonyesha hatua 7 za kufuata kuweza kuanzisha pamoja na kujenga biashara yenye kukuingizia faida ya milioni moja hadi tatu kwa mwezi hata kama hujawahi kufanya hivyo.

INGIA DARASANI

Ndani ya kozi hii utajifunza jinsi ya Kutumia application ya WhatsApp kufanya mauzo kiurahisi.  Ujajifunza jinsi ya kujenga jukwaa la whatsapp, jinsi ya kuwafanya watu kwenye jukwaa lako wakupende na wakuamini hadi kuwa na hamu ya kununua bidhaa/huduma unayotoa.

INGIA DARASANI

Hii ni 'one on one mentorship program' ya Online Profits University. Tunakushika mkono na kufuatilia maendeleo yako kila wiki kukusaidia kuingiza kipato cha milioni moja hadi milioni tatu haraka.

INGIA DARASANI

Lengo la kozi hii ni kukusaidia kujitangaza wewe au brand yako ndani ya jukwaa la Facebook pamoja na Instagram. Ujajifunza kuwa mbele ya macho ya walengwa wako pamoja na kuandika matangazo yenye ushawishi wa hali ya juu.

INGIA DARASANI

Ndani ya kozi hii utajifunza jinsi ya Kutumia Mtandao Wa Internet Kujenga Biashara ya Uhakika kupitia mtandao wa Internet. Utajifunza Hatua 6 za kufuata kuweza kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao.

INGIA DARASANI