Online Profits University Plus

Hii ni 'one on one mentorship program' ya Online Profits University. Tafadhali angalia video ziliyopo chini kupata maelezo ya kina ya namna kushikwa mkono na team yetu kwa kipindi cha mwaka mzima.

Zoezi:

  1. Nenda dropbox kufungua account
  2. Download ma file ya mazoezi hapa
  3. Mtumie ujumbe andrew hapa kumjulisha kuwa ushafungua account ya dropbox

Zoezi:

Andika malengo ya mbali:

  1. Malengo ya siku moja (one day goals)
  2. Malengo ya miaka 5
  3. Malengo ya Mwaka 1

Zoezi:

  1. Tumia 411 kugeuza malengo yako ya matokeo ya mwaka 1 kuwa malengo ya utendaji kazi
  2. Andika vitu unavyotakiwa kufanya mwezi huu kusogea karibu na malengo yako
  3. Andika vitu unavyotakiwa kufanya wiki hii kusogea karibu na malengo yako

Zoezi:

Jaza maendeleo ya biashara yako kwenye financial tracker kila siku.


Zoezi:

Hakikisha unajenga nidhamu ya kuwa mwenye kuchukua hatua kila siku.

  1. Pitia malengo yako kila siku
  2. Andika 411 yako kila wiki
  3. Jaza Financial tracker yako kila siku

Ukizingatia haya utaona matokeo ya kufa mtu.