Dr. Said huwasaidia wajasiriamali kujenga na kukuza biashara zao kupitia mtandao wa intaneti.
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu Dr. Said Said na program hii ya Online Profits University Kiujumla.
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kiundani jinsi ya kujiandaa kisaikolojia kuweza kupata mafanikio. Bila ya kujenga nguvu ya nafsi, kupata ma...
Ni wafanyabiashara wachache wanaoelewa wapo katika biashara gani. Wengi wao wanafikiria biashara yao ndio bidhaa au huduma wanazotoa lakini ...
Ndani ya eneo hili utajifunza namna ya kujenga brand yenye kukuweka kwenye soko kwa mtazamo ambao utawafanya wavutiwe na huduma yako badala ...
Ndani ya eneo hili utapata kujifunza umuhimu wa kujenga jukwaa kwenye biashara yako na namna ya kufanya hivyo. Vile vile utagundua kwanini k...
Ndani ya eneo hili utajifunza kiundani formula ya uhakika ya kuuza bidhaa / huduma kwenye mtandao. Utajifunza taaluma iitwayo 'copywritting'...
Ndani ya eneo hili utajifunza mambo muhimu ya kufanya kuweza kukuza biashara yako na kuongeza kipata 2X, 5X au hata 10X.
Ndani ya eneo hili tutahitimisha program hii na kukupa muongozo wa kufuata kuhakikisha unafaidika kikamilifu na program hii.