Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kupitia mafunzo kwenye darasa hili.
Ndani ya eneo hili utajifunza namna ya kutengeneza kurasa ya biashara ya Facebook.
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza kurasa ya biashara ya Instagram na jinsi ya kulink kurasa hiyo na ya Facebook.