Facebook-Insta Course

2.2: Jinsi ya Kutengeneza Kurasa Ya Biashara Ya Instagram

Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza kurasa ya biashara ya Instagram na jinsi ya kuunganisha kurasa hiyo ya Instagram na Facebook.