Online Profits University Plus
Hii ni 'one on one mentorship program' ya Online Profits University. Tafadhali angalia video ziliyopo chini kupata maelezo ya kina ya namna kushikwa mkono na team yetu kwa kipindi cha mwaka mzima.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 10:06
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakuelezea kwa ufupi mambo ya kuzingatia kuweza kufanikiwa kupitia program ya Online Profits University Plus
2: Jinsi ya Kutuma Mazoezi
Muda wa Video: 6:54
Ndani ya video hii utapata kuelewa jinsi ya kutuma mazoezi kwetu ili tuweze kufuatilia maendeleo yako kwa kina.
Zoezi:
- Nenda dropbox kufungua account
- Download ma file ya mazoezi hapa
- Mtumie ujumbe andrew hapa kumjulisha kuwa ushafungua account ya dropbox
3: Malengo ya Mbali
Muda wa Video: 7:52
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kuandika malengo ya matokeo (outcome goals); malengo ya siku moja (one day goals), ya miaka 5 na ya mwaka mmoja.
Zoezi:
Andika malengo ya mbali:
- Malengo ya siku moja (one day goals)
- Malengo ya miaka 5
- Malengo ya Mwaka 1
4: 411 (Malengo ya Utendaji Kazi)
Muda wa Video: 29:13
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutumia 411 kugeuzi malengo yako ya matokeo (outcome goals) kuwa malengo ya utendaji kazi (process goals)
Zoezi:
- Tumia 411 kugeuza malengo yako ya matokeo ya mwaka 1 kuwa malengo ya utendaji kazi
- Andika vitu unavyotakiwa kufanya mwezi huu kusogea karibu na malengo yako
- Andika vitu unavyotakiwa kufanya wiki hii kusogea karibu na malengo yako
5: Financial tracker
Muda wa Video: 11:07
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kupima maendeleo ya biashara yako kupitia Financial tracker
Zoezi:
Jaza maendeleo ya biashara yako kwenye financial tracker kila siku.
6: Hitimisho
Muda wa Video: 3:15
Ndani ya video hii tunahitimisha program ya Online Profits University Plus pamoja na kukushauri mambo ya kufanya kuhakikisha unatimiza malengo yako haraka.
Zoezi:
Hakikisha unajenga nidhamu ya kuwa mwenye kuchukua hatua kila siku.
- Pitia malengo yako kila siku
- Andika 411 yako kila wiki
- Jaza Financial tracker yako kila siku
Ukizingatia haya utaona matokeo ya kufa mtu.