Katika video hii utajifunza smaku ni nini na jinsi ya kuitumia kujenga uaminifu.
Katika video hii utajifunza kuhusu soko lako na jinsi ya kuwalenga.
Katika video hii utajifunza namna ya kupangilia maneno na kuandika tangazo lenye mvuto.
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza picha kwa njia ya kulipia (lakini rahisi) na BURE kutengeneza picha zenye mvuto.