Facebook-Insta Course

7.1: Jinsi Ya Kuangalia Takwimu na Kutambua Ubora wa Tangazo Lako

Katika darasa hili utajifunza takwimu muhimu za tangazo za kuangalia ili kuweza kuboresha na kuongeza bajeti la tangazo lako.