Hatua 2: Tafuta Idea Nzuri ya Biashara
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii kujenga biashara yenye kukuingizia faida ya Milioni au zaidi kila mwezi kupitia mtandao wa Internet.
1: Biashara ni nini?
Muda wa Video: 5:54
Ndani ya video hii Dr. Said atakuelezea nguzo 3 za biashara. Jinsi ya kulenga, mfumo wake na suluhisho kwa walengwa
2: Nguzo 3 za Biashara
Muda wa Video: 20:53
Ndani ya video hii utapata kuelewa jinsi ya kulenga wateja wako (Soko lako), tatizo unalotatua kwa wateja wako na jinsi ya kujiweka kwenye soko kama mtaalamu wa kutatua matatizo ya wateja wako kwa kufafanua brabd yako.
3: Maswali 4 ya Kuuliza Kabla ya Kufanya Biashara
Muda wa Video: 20:53
Ndani ya video hii utapata kuelewa maswali 4 ya Kuuliza Kabla ya Kufanya Biashara:
1. Mlengwa ?
2. Maumivu yake ?
3. Suluhisho yake ?
4. Ofa yako kwake ?
Zoezi:
- Andika Maswali 4 ya biashara yako.
4: Kwanini Biashara Nyingi Zinafeli
Muda wa Video: 4:52
Ndani ya video hii utapata kuelewa sababu kubwa ya biashara nyingi kufeli
5: Mfumo wa Biashara Wenye Kulipa Haraka
Muda wa Video: 3:58
Ndani ya video hii Dr Said atakueleza mfumo wa biashara wenye kuleta faida kwa haraka.
6: Jinsi ya Kupata Idea Nzuri ya Biashara
Muda wa Video: 3:58
Ndani ya video hii Dr Said atakueleza kwa undani zaidi jinsi ya kupata idea nzuri ya biashara.
7: Muhtasari
Muda wa Video: 6:41
Ndani ya video hii Dr Said atakueleza kwa muhtasari juu ya kipengele hiki cha "Tafuta Idea Nzuri ya Biashara"