Hatua 3: Jaribu Idea Yako

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii kujenga biashara yenye kukuingizia faida ya Milioni au zaidi kila mwezi kupitia mtandao wa Internet.Zoezi:

1. Andika Statement of Value
2. Amua kama unahitaji kuanzisha group la WA au la


Zoezi:

 1. Amua kuwa wewe ndio utakuwa mtaalamu au utashirikiana na mtaalamu.
 2. Kusanya taarifa
  1. Kwenye Mtandao
  2. Nje ya Mtandao

Zoezi:

 1. Toa value kwenye jukwaa lako kwa kipindi cha wiki hadi wiki 2. Hakikisha value yako ni 'transformational' badala ya 'educational'.
 2. Toa OFA Kabambe kwa jukwaa lako. OFA ambayo hawatakuja kuipata tena siku za mbeleni. Kumbuka: Lengo sio kutengeneza faida. Lengo ni kujaribu soko.

Zoezi:

 1. Plan mfumo wa bidhaa/huduma zako
 2. Amua kuwa wewe utatengeneza product au utatafuta mtengenezaji au utatafuta product kutoka china (alibaba)

Zoezi:

 1. Wape bidhaa/huduma yako wateja wako ikisha sikiliza mrejesho

Zoezi:

  1. Mabaya
  2. Kawaida
  3. Mazuri mno

  Ikisha rekebisha bidhaa/huduma yako ikisha wapatie tena hadi iwe super

  6 month


Zoezi:

 1. Kusanya Shuhuda

Zoezi:

 1. Andaa package 3 ya bidhaa/huduma zako