Hatua 5b: Bandika Tangazo Facebook na Instagram

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha matangazo kwenye mitandao ya Kijamii

Zoezi:

  1. Jaza form kufahamu exactly unamlenga nani, unatatua tatizo gani pamoja na lengo la tangazo lako.

Zoezi:

1. Tafuta Idea ya Tangazo lako
2. Andika tangazo lako kama tulivyofundishi hapo awali

3. Bandika tangazo lako Facebook na weka bajeti ya $5/siku kwa muda wa siku 3Zoezi:

  1. Bandika tangazo lako Facebook na weka bajeti ya $5/siku kwa muda wa siku 3Zoezi:

  1. Ingia Facebook au Instagram ikisha jisome unavyoitumia platform hiyo. Take note pale unapo simama na kusoma post au kuangalia video.
  2. Post/video aina gani zinakuvutia? Hiyo inaweza kuwa idea ya tangazo lako.