Hatua 1: Jiandae kisaikolojia

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu mambo ya kujiandaa nayo kisaikolojia ili kuweza kufanikisha malengo yako kama kujijengea nidhamu yako ya kila siku, siri ya mafanikio, kuondoa uoga, kujijengea ujasiri n.k

Zoezi:

Install WhatsApp business katika simu yako na fanya setup
Zoezi:

1. Malengo unayotaka kutimiza ndani ya siku moja

Download Hii Document Kufanya mazoezi kama ilivyoelekezwa kwenye Video.Zoezi:

1. Andika list ya identity unayotaka kujenga
2. Itangaze - watu unaowaamini
3. Anza kuzifanyia kazi - Focus na identity moja tu - The One Thing - 66 days