Hatua 7: Kuza Biashara yako
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha Kukuza Biashara yako
1: Utangulizi
Muda wa Video: 1:51
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa utangulizi juu kipengele hiki cha kukuza biashara.
2: Njia 3 Pekee za Kukuza Biashara Yako
Muda wa Video: 9:18 Ndani ya video hii utapata kujua njia ya kwanza ya kukuza baishara kupitia kuongeza mauzo kwa kuongeza matango nakadhika
3: Ongeza Idadi ya Mauzo
Muda wa Video: 9:18 Ndani ya video hii utapata kujua njia ya kwanza ya kukuza baishara kupitia kuongeza mauzo kwa kuongeza matango nakadhika
Zoezi:
- Ongeza bajeti ya matangazo yako
4: Ongeza Thamani ya Wateja Wako
Muda wa Video: 6:54 Ndani ya video hii utapata kuona jinsi ya kuongeza thamani kwa wateja wako kwa kuongeza bidhaa, kutangaza biashara za watu wengine nakadhalika.
Zoezi:
- Tafuta kitu 1 au 2 vya kufanya kuweza kuongeza thamani ya wateja wako.
5: Ongeza Idadi ya Mauzo ya Kila Mteja
Muda wa Video: 6:44 Ndani ya video hii utapata kuona jinsi ya kuongeza thamani kwa kila mteja.
Zoezi:
1. Tafuta kitu 1 au 2 vya kufanya kuweza kuongeza thamani ya wateja wako.
6: Hitimisho
Muda wa Video: 14:00 Ndani ya video hii utapata Dr Said atahitimisha kipengele hiki cha kukuza biashara yako.