Hatua 5: Tangaza Kama Wazimu

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha matangazo



Zoezi:

1. Andika sifa za mteja wako aliyekuwa mzuri wao
2. Andika story ya mteja wako





Zoezi:

1. Jifunze HSO Formula kwa kusoma matangazo hayo mawili
2. Andika tangazo kupitia formula hii ya HSO

Zoezi 2:

  1. Andika tangazo lenye kufuata formula ya PAS.
  2. Soma makala yangu kufahamu zaidi kuhusu AIDA
  3. Nenda Swiped.co na angalia sample za matangazo.
  4. Andika tangazo kufuata formula ya AIDA


Zoezi:

1. Tengeneza kurasa binafsi ya Facebook
2. Tengeneza kurasa ya biashara ya Facebook (bila ya kusahau kutengeneza Facebook Cover Photo)


Zoezi:

  1. Tengeneza Kurasa ya Biashara ya Instagram

Zoezi:

  1. Unganisha Akaunti yako ya Facebook na Instagram

Zoezi:

  1. Fungua akounti ya biashara ya Facebook