Hatua 6: Tengeneza Mfumo wa Kufanya Mauzo Endelevu
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha Kutengeneza mfumo endelevu wa kufanya mauzo
1: Utangulizi
Muda wa Video: 5:25
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa utangulizi juu ya kipengele hiki cha kutengeneza mfumo endelevu wa kufanya mauzo.
2: Mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kuweza Kufanya Mauzo Endelevu
Muda wa Video: 5:27
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said kuhusu mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kuweza Kufanya Mauzo Endelevu ikiwemo na kutoa ofa
3: Toa elimu yenye kutatua matatizo ya walengwa wako
Muda wa Video: 16:32
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea Mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kuweza Kufanya Mauzo Endelevu
4: Toa OFA ya Kufa Mtu
Muda wa Video: 10:19
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea aina za Ofa na jinsi ya kutoa Ofa ya kufa mtu
Zoezi:
1. Tengeneza OFA ya kufa mtu
2. Toa hiyo OFA
5: Ongeza Idadi ya Mauzo
Muda wa Video: 7:29
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea Jinsi ya Kupata Mauzo Mengi Kupitia Ofa Zako
6: Hitimisho
Muda wa Video: 2:41
Ndani ya video hii Dr Said atahitimisha kipengele hiki cha kutengeneza mfumo wa kufanya mauzo endelevu.