Kuhusu Hii Program
Ndani ya eneo hili tutazungumzia mambo 4 ya msingi ya kuzingatia kufaidika na hii program, pia tutazungumzia hatua 6 za kufuata kuingiza Milioni 5+ kila mwezi na kufanya zeozi.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 01:23
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa utangulizi juu ya programu hii ya Online Profits Mastermind
2 - Mambo 4 ya Msingi Kuzingatia Kufaidika na Hii Program
Muda wa Video: 03:30
Ndani ya video hii utapata kujua mambo 4 ikiwemo kupitia mafunzo unayopewa na kufanya mazoezi, kuifanyia kazi biashara yako kila siku, kuripoti maendeleo yako na kuhudhuria live podcasts za kila wiki.
3 - Hatua 6 za Kufuata Kuingiza Milioni 5+ Kila Mwezi
Muda wa Video: 4:21
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani Hatua 6 za Kufuata Kuingiza Milioni 5+ Kila Mwezi
4 - Jinsi ya Kutuma Mazoezi
Muda wa Video: 4:21
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya kutuma mazoezi yako kwa mkufunzi au mzimamizi wako.
5 - Kuhusu Financial Tracker
Muda wa Video: 7:44
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani Jinsi ya kutumia Financial tracker.
6 - Mazoezi
Muda wa Video: 1:28
Ndani ya video hii Dr Said anatoa zoezi
Zoezi:
- Sajili account yako ya Dropbox
- Anza kujaza Financial Traker yako Mara moja