Hatua ya 5: Suka Ofa ya Kufa Mtu

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu ofa, aina za ofa na mifano yake, mambo ya kuzingatia ili kufanya mauzo na zoezi
Zoezi:

  1. Amua utatoa ofa gani kwa walengwa wako, (kumbuka kila utakavyoa ofa nyingi/kubwa ndivyo itakavyokua na mvuto wa hali ya juu).
  2. Andika Big Domino na roadblock statement zako.
  3. Andika vipengele 9 vya kukusaidia kuuza/huduma zako kwa uwepesi.
  4. Tumia hatua 6 kusuka ofa ya kufa mtu: (Tengeneza video au WhatsApp audio)