Hatua ya 2: Branding & Positioning

Ndani ya eneo hili utapata kuelewa nini branding and positioning na jinsi gani ya kujitengezea sura mtandaoni na pia kufanya zoezi

Zoezi:

  1. Tengeneza Refined Marketing Statement (RMS) yako. Itume kwangu au kwa coach anaekusimamia.
  2. Mlipe graphic designer akutengezee facebook cover yako kwa ajili ya kujibrand.
  3. Tengeneza kurasa ya biashara ya Facebook na tumia  Refined Marketing Statement (RMS) kuandika profile ya facebook na Instagram (na social media nyengine kama inahitajika)