Hatua ya 3: Bandika Tangazo

Ndani ya eneo hili tutazungumzia lengo la matangazo ya mtandaoni na utapata keuelewa jinsi ya kubandika tangazo mtandaoni
Zoezi:

  1. Pitia sheria za Facebook kuhakikisha unafuata taratibu zao.
  2. Chagua aina ya tangazo la kuanza nalo
  3. Andaa tangazo na bandika tangazo lako
  4. Wekeza $5 kwa siku kujaribu ufanisi wa tangazo lako
  5. Ongeza bajeti baada ya siku 3 au 5 ikiwa linafanya kazi vizuri
  6. Tengenezo tangazo la aina nyengine na fanya kama ulivyofanya tangazo lililopita.
  7. Kama account yako imefungwa fuata malelekezo ya kufungua account yako.