Hatua ya 6: Kuza Biashara Yako

Ndani ya eneo hili tutazungumzia mambo ya kufanya ili kukuza biashara yako.Zoezi:

 1. Boresha matangazo yako.
 • Test matangazo aina tofauti kuona ipi inafanya kazi vizuri.
 1. Boresha value unayotoa ndani ya group lako.
 2. Boresha ofa yako.
 3. Ongeza bajeti ya matangazo yako.
 4. Tengeneza mfumo wa kurahisisha kazi yako.
 5. Tafuta msaidizi wa kushughulikia group lako.
 6. Ongeza thamani ya kila mteja kwa:
 • Kupandisha bei ya bidhaa au,
 • Kuongeza bidhaa nyengine
 1. Endelea kuwasiliana na walengwa wako mara kwa mara.