Hatua 1: Clarity & Mindset

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Online Profits Mastermind akizungumzia clarity pamoja na jinsi ya kuuprogram ubongo kwa ajili ya mafanikio.


Zoezi:

  1. Andika malengo yako ya mbali (Malengo ya siku1, mwaka 1 na miaka 5).
  2. Andika lengo moja binafsi na lengo moja la biashara kutimiza ndani ya mwaka mmoja, ikisha pangilia kete.
  3. Hamisha malengo yako kwenye 411 yako.
  4. Program ubongo wako kwa ajili ya kupata mafanikio kwa kufanya meditation mara 2 kwa siku.