Hatua 1: Clarity & Mindset
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Online Profits Mastermind akizungumzia clarity pamoja na jinsi ya kuuprogram ubongo kwa ajili ya mafanikio.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 1:23
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa utangulizi kuhusu Clarity & Mindset
2a: Clarity | Unataka nini?
Muda wa Video: 4:07
Ndani ya video hii utapata maelezo kuhusu ubayana (clarity), mambo ya kujiuliza unataka nini kwa kipindi husika?
2b: Clarity | Pangilia kete zako
Muda wa Video: 10:18
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kuhusu mambo unayotakiwa kufanya ili kupata unachokitaka
2c: Clarity | 411
Muda wa Video: 30:04
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea nini fomula ya 411 na hatua za kufuata kutumia fomula ya 411 ipasavyo.
3: Program Ubongo Wako Kupata Mafanikio
Muda wa Video: 26:35
Baada ya kufahamu vizuri Video iliopita ndani ya video hii Dr Said atakupa zoezi lenye hatua 5 la kuset mindset yako kupata mafanikio ikiwemo
- Breathing
- Gratitude
- Visualization
- Problem solving
- Maombi
4: Zoezi
Muda wa Video: 24:57
Ndani ya video hii Dr Said atakupa zoezi.
Zoezi:
- Andika malengo yako ya mbali (Malengo ya siku1, mwaka 1 na miaka 5).
- Andika lengo moja binafsi na lengo moja la biashara kutimiza ndani ya mwaka mmoja, ikisha pangilia kete.
- Hamisha malengo yako kwenye 411 yako.
- Program ubongo wako kwa ajili ya kupata mafanikio kwa kufanya meditation mara 2 kwa siku.