Hatua ya 2: Branding & Positioning
Ndani ya eneo hili utapata kuelewa nini branding and positioning na jinsi gani ya kujitengezea sura mtandaoni na pia kufanya zoezi
1: Utangulizi
Muda wa Video: 1:26
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said ataanza kukupa utangulizi wa kipengele cha branding and positioning
2: Branding na Positioning ni Nini?
Muda wa Video: 9:51
Ndani ya video hii utapata kujua "branding na positioning ni nini?" na jinsi kampuni tofauti zilivyijitengezea sura kuuza bidhaa zao
3: Elewa Upo Katika Biashara Gani
Muda wa Video: 3:42
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kuhusu maswali ya kujiuliza jinsi ya kujijua kuwa upo kwenye biashara gani.
4: Tengeneza Brand Identity Yako Mtandaoni
Muda wa Video: 18:24
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya kujitambulisha mtandaoni.
5: Zoezi
Muda wa Video: 1:15
Baada ya kufahamu vizuri Video ziliopita ndani ya video hii Dr Said atakupa zoezi.
Zoezi:
- Tengeneza Refined Marketing Statement (RMS) yako. Itume kwangu au kwa coach anaekusimamia.
- Mlipe graphic designer akutengezee facebook cover yako kwa ajili ya kujibrand.
- Tengeneza kurasa ya biashara ya Facebook na tumia Refined Marketing Statement (RMS) kuandika profile ya facebook na Instagram (na social media nyengine kama inahitajika)