OFA hii itaisha ndani ya...
GUARANTEE YA SIKU 7
Kama huna uhakika ya kulipia hii kozi na kuogopa kupoteza pesa zako, usihofu.
Kozi hii inakuja na Guarantee ya Siku 7.
Lipi hii kozi sasa hivi, ipitie ndani ya siku 7 na kama kwa namna moja au nyengine hujapendezeshwa na kiwangu tunakuruhusu kudai 100% ya pesa zako zote.
Endapo itatokea hivyo (japokuwa hatutegemei) tuma email kwenda [email protected] yenye kichwa cha habari “Nirudishie Pesa Zangu“.
Tutafanya hivyo ndani ya masaa 24 bila ya kukusumbua!
Sahau Kubembeleza Wateja Kununua Bidhaa Zako! Badala Yake Wafanye Wakubembeleze Wewe Uwauzie
Imefika wakati wa kukomesha mahangaiko uliyokuwa nayo ya kutafuta wateja kwenye mtandao wa Facebook na Instagram.
Mtindo wa kuweka matangazo katika ma 'group' ya Facebook au wall za Facebook na Instagram hazitozaa matunda isipokuwa kuumiza roho yako.
Vile vile kuwalipa wasanii kama Diamond kukubandikia matangazo ya bidhaa zako kwenye Instagram yao (iliyojaa mashabiki malofa wasiokuwa na interest na bidhaa zako) itaendelea kuwatajirisha wao huku mfuko wako ukikauka.
Zipo njia sahihi na za uhakika za kuwafikia na kuwafanya wateja wako watarajiwa kung'ang'ania kununua bidhaa / huduma unayotoa.
Njia hizo ndizo tumezianisha wazi ndani ya "Facebook-Insta Course."
Weka ODA sasa hivi kwa kubofya kitufe cha chini kabla ya OFA kuondoka.
Makala za Dr. Said Said zishachapishwa katika magazeti na jarida zifuatazo:
Kwanini Unahitaji Kujifunza Mbinu za Kunasa Wateja Kupitia Mtandao wa Facebook na Instagram Kwa Kipindi Hiki
Hakuna wakati muhimu wa kufahamu mbinu za kunasa wateja kupitia mtandao wa Facebook na Instagram kama sasa.
Kama unamiliki kampuni au unauza bidhaa au huduma yoyote na unashindwa kunasa wateja kupitia mtandao wa Facebook au Instagram basi unaacha pesa nyingi mno mezani.
Takwimu za TechCrunch zinaonesha kuwa kuna zaidi ya watu Billioni 2 wanaotumia mtandao wa Facebook kila mwezi na Instagram ni zaidi ya watumiaji Millioni 7 kwa mwezi.
Japokuwa unaweza kuona kuwa Millioni 7 ya watumiaji wa Instagram ni nambari ndogo ukifananisha na Facebook, lakini elewa kuwa watumaji hao wamekuwa na wanaendelea kukuwa kwa kasi kubwa sana.
Miaka miwili tu nyuma watumiaji wa Instagram walikuwa ni Millioni 3.5 kwa mwezi. Leo washafika Millioni 7.
Angalia jedwali la hapo chini:
Kasi ya watumiaji ya mitandao hii miwili inakuwa kwa kiasi kikubwa mno.
Watu wanahama kwenye TV, radio, magazeti na kuhamia
Facebook na Instagram...
Imefika wakati taarifa za Mange Kimambi zinathaminiwa kuliko taarifa za habari za kwenye TV na radio.
Hivyo ndivyo mitandao ya Facebook na Instagram inateka watu.
Inakupa fursa mjasiriamali mdogo kama wewe kuweza kushindana na mjasiriamali mkubwa.
Sasa Biashara Yako Itafaidika Vipi na Mabadiliko Haya?
Biashara ni watu.
Bila ya watu hutouza chochote.
Na kama nilivyokuonesha hapo juu, watumiaji wa mitandao ya Facebook na Instagram ina watu wengi mno kiasi ambacho hata ukipata 0.001% ya watu kuona tangazo lako basi hao ni zaidi ya watu 200,000.
Hebu tulia na utafakari niliyoyasema hapo.
Cha kufurahisha zaidi ni kuwa unaweza kuchagua nani wa kuona tangazo lako (tofauti na TV, radio na magazeti) kitu ambacho kitasababisha gharama za matangazo yako kuwa rahisi mno.
Unaanzaje Anzaje Kutumia Facebook na Instagram kuhakikisha Unapata Mafanikio?
Unajifunza kwa watu wenye uzoefu wa kutumia mitandao hiyo kupata wateja.
Sio wenye followers wengi.
Sio wenye likes nyingi.
Bali watu wanaofahamu kiundani jinsi mitandao hiyo inavyofanya kazi na jinsi ya kuwafanya watumiaji wa mitandao hiyo kuacha kufanya wanayofanya na kuwasikiliza na kuwa tayari kununua bidhaa au huduma wanayotoa.
Hiyo ni taaluma wachache wenye nayo.
Dr. Said Said katika 'Facebook-Insta Course' na group ya WhatsApp ya 'Facebook-Insta Course' atakuongoza hatua kwa hatua na kukuonyesha stratejia na mbinu za kuwafanya wateja wako watarajiwa katika mitandao ya Facebook na Instagram wakufukuzie kama mpira wa kona.
Kama umechoka kuhangaika kupata wateja kupitia Facebook na Instagram basi huna budi isipokuwa kubofya kitufe cha chini na kujinyakulia "Facebook-Insta Course" kabla hatujaiondoa hewani.
Vitu Utakavyojifunza Katika 'Facebook Insta-Course':
01: Utangulizi
Katika sehemu hii utajifunza mambo ya msingi ya kufahamu kabla ya kufanya matangazo katika mtandao wa Facebook na Instagram.
Vitu utakavyojifunza katika darasa hili ni; Kwa nini Facebook na Instagram, biashara nzuri za kutangaza Facebook na Instagram na vifaa unvyohitaji kuweza kutangaza Facebook na Instagram
02: Jinsi ya Kutengeneza Kurasa ya Biashara ya Facebook na Instagram
Katika sehemu hii utaonyeshwa hatua kwa hatua jinsi ya kujenga kurasa ya Facebook na Instagram. Kurasa hizi zitakusaidia kuweza kufanya matangazo katika mitandao ya Facebook na instagram.
Vitu utakavyojifunza katika darasa hili ni; Jinsi ya kutengeneza kurasa ya biashara ya Facebook, jinsi ya kutengeneza kurasa ya biashara ya Instagram na jinsi ya kuunganisha kurasa ya biashara ya Facebook na Instagram.
03: Saikolojia ya Watu Wanaotumia Mtandao wa Facebook na Instagram
Ndani ya darasa hili utajifunza saikolojia ya watu wanapokuwa wakitumia mtandao wa Facebook na Instagram.
Ukielewa saikolojia yao ipo vipi wakati ule, itakurahisisha wewe kuweza kuwasiliana na kwa njia yenye kuwavutia badala ya kuwakera.
04: Mambo 4 ya Kufahamu Kabla ya Kutangaza Facebook na Instagram
Ili uweze kufanya matangazo yenye matokeo mazuri, kuna mambo 4 muhimu ya kufahamu. Ufahamu wa mambo haya 4 yatafanya matangazo yako yawe ya kipekee na yenye kuvutia. Ndani ya darasa hili tutazungumzia mambo hayo 4.
Tutazungumzia soko lako ni nani, jinsi ya kutumia smaku kujenga uaminifu, jinsi ya kuandika tangazo na kutengeneza picha zenye mvuto.
05: Jinsi ya Kubandika Tangazo Facebook na Instagram
Katika darasa hili utajifunza njia sahihi (hatua kwa hatua) ya kubandika tangazo lako katika mtandao wa Facebook na kufanya tangazo hilo lionekane na Instagram vile vile.
Tutaongelea maana na umuhimu wa campaign, adset na ads. Tutaongelea jinsi ya kufanya maandalizi ya tangazo lako, jinsi ya kubandika tangazo la picha na jinsi ya kubandika tangazo la video.
07: Hitimisho
Hili ni darasa la mwisho na la kufunga kozi yote.
Katika darasa hili tunakupa shukrani na kukuandaa kuchukua hatua mara moja ya kutengeneza matangazo kwenye mitandao ya Facebook na Instagram yenye kukuletea wateja mara kwa mara.
GUARANTEE YA SIKU 7
Kama huna uhakika ya kulipia hii kozi na kuogopa kupoteza pesa zako, usihofu.
Kozi hii inakuja na Guarantee ya Siku 7.
Lipi hii kozi sasa hivi, ipitie ndani ya siku 7 na kama kwa namna moja au nyengine hujapendezeshwa na kiwangu tunakuruhusu kudai 100% ya pesa zako zote.
Endapo itatokea hivyo (japokuwa hatutegemei) tuma email kwenda [email protected] yenye kichwa cha habari “Nirudishie Pesa Zangu“.
Tutafanya hivyo ndani ya masaa 24 bila ya kukusumbua!