Facebook-Insta Course

5.3: Jinsi ya Kubandika Tangazo La Picha Facebook

Katika video hili tutakuonyesha hatua za kufuata kubandika tangazo la picha katika mtandao wa Facebook na kuhakikisha tangazo hilo linaonekana Facebook pamoja na Instagram.