Facebook-Insta Course

5.4: Jinsi ya Kubandika Tangazo la Video Facebook

Katika video hili tutakuonyesha hatua za kufuata kubandika tangazo la video Facebook na kuhakikisha tangazo hilo linaonekana Instagram.