Facebook-Insta Course

5.2: Jinsi ya kufanya maandalizi ya tangazo lako

Katika video hili tutakuonyesha hatua za kufuata kubandika tangazo Facebook na kuhakikisha tangazo hilo linaonekana Instagram.