Hatua 5b: Bandika Tangazo Facebook na Instagram
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha matangazo kwenye mitandao ya Kijamii
6a: Saikolojia ya Watumiaji wa Facebook na Instagram
Muda wa Video: 10:06
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakuelezea juu ya saikolojia ya watuamiaji wa facebook.
6b: Sehemu za Kubandika Matangazo Facebook na Instagram
Muda wa Video: 12:57
Ndani ya video hii utapata kuona sehema za kubandika matangazo facebook na instagram na hatua zake kuweka matangazo
6c: Kuhusu Ads Manager
Muda wa Video: 18:07
Ndani ya video hii utapata kuelewa jinsi ya kutumia Ad Manager ya facebook na jinsi gani itaweza kukusaidia kuwalenga wateja wako
6d: Hatua za Kufuata Kubandika Tangazo
Muda wa Video: 5:00
Ndani ya video hii utapata kuelewa hatua muhimu za kufuata kuweza kubandika tangazo
6e: Elewa Unamlenga Nani, Unatatua Tatizo Gani & Lengo la Tangazo
Muda wa Video: 5:00
Ndani ya video hii utapata kuelewa hatua muhimu za kufuata kuweza kubandika tangazo na mwendelezo wa kujua Unamlenga Nani, Unatatua Tatizo Gani & Lengo la Tangazo
Zoezi:
- Jaza form kufahamu exactly unamlenga nani, unatatua tatizo gani pamoja na lengo la tangazo lako.
6f: Tafuta Idea ya Tangazo
Muda wa Video: 5:00
Ndani ya video hii utapata kuelewa hatua za kufuata kupata idea nzuri ya tangazo na kuona mfano wa tangazo
Zoezi:
1. Tafuta Idea ya Tangazo lako
2. Andika tangazo lako kama tulivyofundishi hapo awali
3. Bandika tangazo lako Facebook na weka bajeti ya $5/siku kwa muda wa siku 3
6g: Andaa Tangazo
Muda wa Video: 5:28
Ndani ya video hii Dr Said atuakualezea jinsi ya kuandaa tangazo katika mtandao wa facebook.
6h: Bandika Tangazo
Muda wa Video: 22:20
Ndani ya video hii Dr Said atuakualezea jinsi ya kubandika tangazo facebook na kuweza kuonekana Instagram, pia atakuelezea kuhusu Campaign na Ad sets n.k
Zoezi:
- Bandika tangazo lako Facebook na weka bajeti ya $5/siku kwa muda wa siku 3
6i: Jinsi ya Kubandika Matangazo Aina Nyengine
Muda wa Video: 16:47
Ndani ya video hii Dr Said atuakualezea jinsi ya kubandika tangazo aina nyengine.
8: Boresha Matangazo Yako
Muda wa Video: 16:47
Ndani ya video hii Dr Said atuakualezea juu ya kuboresha matangazo yako.
9: Hitimisho
Muda wa Video: 3:33
Ndani ya video hii Dr Said atahimisha kipengele kizima cha kutangaza kama wazimu pamoja na Facebook na Instagram
Zoezi:
- Ingia Facebook au Instagram ikisha jisome unavyoitumia platform hiyo. Take note pale unapo simama na kusoma post au kuangalia video.
- Post/video aina gani zinakuvutia? Hiyo inaweza kuwa idea ya tangazo lako.