Hatua 5: Tangaza Kama Wazimu
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha matangazo
1: Utangulizi
Muda wa Video: 6:24
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa utangulizi juu ya kipengele hiki cha matangazo.
2: Pembe 3 ya Masoko
Muda wa Video: 5:35
Ndani ya video hii utapata kuelewa pembe 3 za soko na kuele kwa undani zaidi soko, ujumbe na jukwaa la kutumia.
3: Elewa Soko Lako
Muda wa Video: 11:51
Ndani ya video hii utapata kuona na kuelekezwa jinsi ya kuelewa soko lako kabla hujaanza kurusha matangazo.
Zoezi:
1. Andika sifa za mteja wako aliyekuwa mzuri wao
2. Andika story ya mteja wako
4: Copywriting [Taaluma Muhimu Kuliko Yote Mtandani]
Muda wa Video: 18:12 Ndani ya video hii Dr. Said atakuelezea juu ya taaluma ya copywriting, Vp utaweza kujijengea taaluma hiyo na wapi.
4b: Formula ya AIDA
Muda wa Video: 18:49 Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea juu ya Fumula ya matangazo ya AIDA
4c: Formula ya PAS
Muda wa Video: 16:14 Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea juu ya Fomula ya PAS katika uandishi wa makala au matangazo katika kuhimiza au kuvutia wateja
4d: Formula ya HSO
Muda wa Video: 26:03 Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea juu ya Fomula ya HSO katika uandishi wa makala au matangazo katika kuhimiza au kuvutia wateja
Zoezi:
1. Jifunze HSO Formula kwa kusoma matangazo hayo mawili
2. Andika tangazo kupitia formula hii ya HSO
Zoezi 2:
- Andika tangazo lenye kufuata formula ya PAS.
- Soma makala yangu kufahamu zaidi kuhusu AIDA
- Nenda Swiped.co na angalia sample za matangazo.
- Andika tangazo kufuata formula ya AIDA
5a: Utangulizi
Muda wa Video: 26:03 Ndani ya video hii utapata utangulizi juu kufanya matangazo katika mitandao ya Facebook na Instagram.
5b: Tengeneza Kurasa ya Biashara ya Facebook
Muda wa Video: 16:14 Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea juu ya hatua ya kwanza ya kutengeneza Kurasa ya Biashara ya Facebook na mambo muhimu ya kuzingatia
Zoezi:
1. Tengeneza kurasa binafsi ya Facebook
2. Tengeneza kurasa ya biashara ya Facebook (bila ya kusahau kutengeneza Facebook Cover Photo)
5c: Tengeneza Kurasa ya Biashara ya Instagram
Muda wa Video: 11:07 Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea juu ya hatua ya kwanza ya kutengeneza Kurasa ya Biashara ya Instagram na mambo muhimu ya kuzingatia
Zoezi:
- Tengeneza Kurasa ya Biashara ya Instagram
5d: Unganisha Kurasa ya Facebook na Instagram
Muda wa Video: 7:13 Ndani ya video hii utapata maelekezo juu ya kuunganisha Kurasa ya Facebook na Instagram.
Zoezi:
- Unganisha Akaunti yako ya Facebook na Instagram
5e: Tengeneza akaunti ya Biashara ya Facebook
Muda wa Video: 7:13 Ndani ya video hii Dr Said atakueleza juu account ya biashara ya facebook, faida zake na jinsi inavyofanya kazi na pia jinsi ya kufungua account hiyo.
Zoezi:
- Fungua akounti ya biashara ya Facebook