Hatua ya 3: Bandika Tangazo
Ndani ya eneo hili tutazungumzia lengo la matangazo ya mtandaoni na utapata keuelewa jinsi ya kubandika tangazo mtandaoni
1: Utangulizi
Muda wa Video: 3:08
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said ataanza kukupa utangulizi wa kipengele hiki.
2: Lengo la Tangazo
Muda wa Video: 9:49
Ndani ya video hii utapata kujua lengo kuu la tangazo.
3a: Aina 4 za Matangazo Zenye Kufanya Vizuri
Muda wa Video: 5:46
Ndani ya video hii Dr Said atakueleza aina nne za matangazo yenye kufanya vizuri mtandaoni
3b: Ndona - Simulizi - Ofa
Muda wa Video: 8:58
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya kutangaza tangazo la simulizi na kutoa ofa.
3c: Ndoana - Elimu - Ofa
Muda wa Video: 4:32
Ndani ya Video hii Dr Said atakuelezea aina ya tangazo la Ndoana-Elimu-Ofa na kukupa mifano
3d: Maneno Machache - Video Ndefu
Muda wa Video: 3:27
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani jinsi ya kutengeneza tangazo la kuweka video lenye maneno machache na video ndefu na kukupa mifano
3e: Maneno Machache - Ofa (Tangazo Fupi)
Muda wa Video: 3:27
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea aina ya 4 na matangazo yenye video fupi.
3f: Mifano live ya matangazo Facebook
Muda wa Video: 10:10
Ndani ya video hii utapata kuona mifano ya matangazo yalioyomo facebook kutoka kwa marketers wengine.
4a: Sheria za Kutangaza Facebook na Instagram
Muda wa Video: 22:27
Ndani ya video hii Dr Said atakueleza sheria za kutangaza Facebook na instagram, pia atakueleza nini ufanye ikiwa tangazo lako litakataliwa na mengineyo
4b: Fanya Hivi Tangazo Lako Likiwa Rejected
Muda wa Video: 6:15
Ndani ya video hii utapata kuelezwa kwa undani zaidi nini cha kufanya ikiwa tangazo lako litakataliwa na facebook.
4c: Fanya Hivi Akaunti Yako Ya Kutangaza Facebook Ikifungwa
Muda wa Video: 14:14
Ndani ya video hii utapata kuelezwa kwa undani zaidi nini cha kufanya ikiwa account yango ya facebook ikifungwa.
5: Zoezi
Muda wa Video: 3:37
Ndani ya video hii utapata kuelezwa kwa muhtasari kipengele hiki cha kujaribu idea yako katika soko.
Zoezi:
- Pitia sheria za Facebook kuhakikisha unafuata taratibu zao.
- Chagua aina ya tangazo la kuanza nalo
- Andaa tangazo na bandika tangazo lako
- Wekeza $5 kwa siku kujaribu ufanisi wa tangazo lako
- Ongeza bajeti baada ya siku 3 au 5 ikiwa linafanya kazi vizuri
- Tengenezo tangazo la aina nyengine na fanya kama ulivyofanya tangazo lililopita.
- Kama account yako imefungwa fuata malelekezo ya kufungua account yako.