Hatua ya 4: Jenga Jukwaa
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu lengo la jukwaa na aina zake, jinsi ya kujenga jukwaa na nini cha kuzungumza kwenye jukwaa lako pamoja kuapata zoezi
1: Utangulizi
Muda wa Video: 1:17
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atautangulizi juu ya sehemu hii ya kujenga jukwaa.
2: Lengo la Kujenga Jukwaa
Muda wa Video: 2:02
Ndani ya video hii utapata maelezo juu ya lengo la kujenga jukwaa, kujenga uaminifu na kutoa ofa.
3: Aina za Majukwaa
Muda wa Video: 2:56
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea aina kuu mbili za majukwaa na mamalaka yake.
5: Unazungumza Nini Ndani ya Jukwaa Lako
Muda wa Video: 25:13
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea nini cha kufanya ndani ya jukwaa lako.
6: Zoezi
Muda wa Video: 11:22
Baada ya kufahamu vizuri Video iliopita ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya ya kufanya mauzo au kutoa huduma kwa walengwa wako
Zoezi:
- Jenga jukwaa.
- Toa value katika jukwaa lako.
- Toa ofa ya kufa mtu katika jukwaa lako. (angalia video ya hatua 5)