Asante kwa kulipia hosting. Tupe masaa 24 kuhakiki taarifa zako. Tumekutumia ujumbe wa barua pepe kwa maelekezo zaidi. Huku ukiwa unasubiria blogu na hosting yako,  jifunze jinsi ya kupata wateja wa biashara yako kupitia mtandao wa Facebook kwa kusoma kitabu cha "Masoko Facebook". Shusha kopi ya nakala yako hapo chini.

Shusha Nakala ya kitabu [Masoko Facebook]

Bofya kitufe cha kulia cha mouse (RIGHT CLICK) kwenye linki kubwa iliyopo chini (Bofya hapa kushusha kopi ya kitabu yako). Baada ya hapo chagua:   ‘Save Target As…’ ‘Save Link As…’ au  ‘Download Linked File As…’ kutegemea unatumia kisakuzi (browser) kipi. Baada ya hapo hifadhi kitabu hicho kwa ku 'save' kwenye kompyuta yako.

Bofya Hapa Kushusha Kopi Ya Kitabu Yako!

Kitabu hiki kimehifadhiwa kwa aina ya file ya Adobe Acrobat PDF.  Aina hii ya faili hufunguka kwenye kompyuta zote ikiwemo Mac na PC.

Kompyuta nyingi huwa na programu hii ya 'Adobe Acrobat PDF Reader' ndani yake.  Kama kompyuta yako haina programu ya 'Acrobat Reader', itakulazimu kuishusha na kuihifadhi kwenye kompyuta yako kuweza kusoma kitabu hiki. Kupata programu ya 'Acrobat Reader', bofya hapa.

 • Chrome

  Chagua “Save Link As” baada ya kubofya kitufe cha kulia kwenye linki ya hapo juu, hifadhi kopi ya kitabu chako kwenye kompyuta yako.

 • Firefox

  Chagua “Save Link As” baada ya kubofya kitufe cha kulia kwenye linki ya hapo juu, hifadhi kopi ya kitabu chako kwenye kompyuta yako.

 • Safari

  Chagua “Download Linked File As” baada ya kubofya kitufe cha kulia kwenye linki ya hapo juu, hifadhi kopi ya kitabu chako kwenye kompyuta yako.

 • Internet Explorer

  Chagua “Save Target As” baada ya kubofya kitufe cha kulia kwenye linki ya hapo juu, hifadhi kopi ya kitabu chako kwenye kompyuta yako.

Bofya Hapa Kushusha Kopi Ya Kitabu Yako!