Hongera!
Utaendelea kupokea email kutoka kwetu. Bofya hapa kuperuzi tovuti yetu
Utaendelea kupokea email kutoka kwetu. Bofya hapa kuperuzi tovuti yetu
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote. Lakini kabla ya kuangalia fomula hiyo
Kama una biashara na unafikiria kuikuza biashara yako kwa muda mrefu kuanzia miaka mitano hadi kumi basi makala hii ni kwa ajili yako. Mambo ya msingi unayotakiwa kuyazingatia ili uweze
Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara unaehangaika kupata wateja kutokana na ushindani basi naomba unisikilize kwa umakini sana, kwani katika makala hii nataka nikuonyeshe mbinu ambayo itakusaidia:- Kuua ushindani kwenye
Watu wengi ambao hawajazama ndani ya biashara wana picha fulani ya kwamba biashara au ujasiriamali ni sehemu bora ya wao kuwepo. Kwa wengine inaweza kuwa sehemu nzuri kuwepo lakini wengi wanahangaika katika
Baada ya kuona wafanyabiashara katika nchi tofauti ikiwemo India, Brazil na nchi zenye kuendelea wakitumia WhatsApp kuwasiliana na wateja wao, whatsApp wameamua kuzindua app yao ya biashara. App hiyo ilizinduliwa mwezi wa
Kama wewe ni mfanyabiashara na umeanzisha page yako ya biashara na moja ya malengo yako ni kupata likes nyingi kwa mfano kupata likes laki 1 au milioni basi nakuhakikihshia kuwa hiyo
Kama wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara na haijalishi unafanya biashara gani, aidha unafanya Network Marketing, au Una duka lako unauza nguo au wewe ni Daktari au ni Mhandisi (Engineer), au kazi yoyote
Katika mafunzo yetu ya leo tutazungumzia Mambo matatu ya msingi na ya muhimu unayotakiwa kuyafanya katika mtandao ili uweze kupata wateja kwa wingi na kwa kiingereza tunaita mambo haya matatu “The
Kama umetumia muda mwingi na njia nyingi ili kupata mafanikio lakini umekuwa ukishindwa mara zote, Soma kwa Umakini mkubwa makala hii kwani huenda ikawa ndio suluhisho pekee la kukusaidia kufikia mafanikiounayoyataka. Kabla