Skip to content
Online Profits
  • Mwanzo
  • Sisi Ni Nani
  • Dr. Said Ni Nani
  • Blogu
  • Wasiliana Nasi
  • Close Search Form
    Open Search Form
Category

Masoko

AIDA
Masoko
Matangazo
Mauzo
January 21, 20190Comments

Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote. Lakini kabla ya kuangalia fomula hiyo
by onlineprofits
Masoko
Mauzo
December 23, 20170Comments

Mambo Matatu ya Msingi Unayotakiwa Kuyafanya Katika Mtandao Ili Uweze Kupata Wateja

Katika mafunzo yetu ya leo tutazungumzia Mambo matatu ya msingi na ya muhimu unayotakiwa kuyafanya katika mtandao ili uweze kupata wateja kwa wingi na kwa kiingereza tunaita mambo haya matatu “The
by Abdallah Hemedi
Jinsi Ya Kutangaza na Kupata Wateja Wengi Kupitia Mtandao Wa Facebook
Facebook
Masoko
Matangazo
May 16, 20171Comments

Jinsi Ya Kutangaza na Kupata Wateja Wengi Kupitia Mtandao Wa Facebook

Kama umeshajaribu kutangaza biashara, bidhaa au huduma unazotoa kwenye mtandao wa Facebook bila ya kupata wateja wengi basi nisikilize kwa makini sana kwani katika makala hii nitakuonyesha njia sahihi ya
by onlineprofits
Ongeza kipato
Masoko
Matangazo
Mauzo
April 20, 20175Comments

Jinsi Ya Kuongeza Kipato Kutoka Kwa Wateja Wachache

Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi hujishughulisha kutafuta wateja wapya wakiona kipato chao hakikidhi malengo yao. Kama mwezi uliopita aliingiza kipato cha miliona 1 kutokana na wateja 100, mwezi unaofuata hupanga mikakati ya kutafuta wateja
by onlineprofits
kwanini wateja hawanunui kutoka kwako
Masoko
Matangazo
Mauzo
April 17, 20170Comments

Sababu Kubwa Kwanini Wateja Hawanunui Kutoka Kwako

Moja ya maswali ninayoulizwa mara kwa mara kutoka kwa wajasiriamali hususan wanaojaribu kupata wateja kupitia mtandao ni "kwanini watu hawanunui kutoka kwangu"? Jambo hili linawaumiza kichwa sana mpaka wengi wao kukata tamaa kabisa. Kama na wewe
by onlineprofits
Njia 3 Pekee Za Kukuza Biashara Yako
Masoko
Ukuzaji Wa Biashara
April 3, 20170Comments

Njia 3 Pekee Za Kukuza Biashara Yako

Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako basi ukifanya njia tatu hizi huenda mambo yakabadilika kwa kiasi kikubwa sana: 1. Ongeza Idadi Ya Wateja (Increase the Number of Customers) Nafikiria
by onlineprofits
traffic - mambo 5 ya kufanya kwenye mtandao kuwafikiwa watu wengi na kuuza bidhaa nyingi
Masoko
Matangazo
March 24, 20171Comments

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye bidhaa au huduma nzuri lakini unashindwa kuwafikia watu wengi kwenye mtandao basi hakikisha unanipa macho na masikio yako kwani huenda makala hii ikawa moja ya makala muhimu utakayosoma
by onlineprofits
Wafuasi 1000 Wa Facebook
Facebook
Masoko
Mitandao Ya Kijamii
April 11, 20160Comments

Jinsi Ya Kupata Likes Nyingi Kwenye Kurasa Yako Ya Facebook

Kama unamiliki biashara lakini haina kurasa ya Facebook hakikisha unafungua kurasa yako SASA HIVI kwa kufuata utaratibu nilioandika kwenye makala ya Jinsi Ya Kuanzisha Kuarasa ya Biashara Kwenye Mtandao Wa Facebook. Ukishamaliza
by onlineprofits
wafanyabiashara wa kibongo kufeli
Masoko
Matangazo
Mitandao Ya Kijamii
February 24, 20160Comments

Sababu za Wafanyabiashara Wa Kibongo Kufeli Mwaka 2016 Kwenye Matangazo Na Mbinu Za Kufuata Kufanikiwa

Enzi za miaka ya 85 hadi 95 yalikuwa na raha sana kwa wafanyabiashara hapa Tanzania..... Nchi ilikuwa inatoka katika siasa za ujamaa na kujitegema na kufuata mfumo mpya uliowapa watu 'ruhsa' ya kushiriki katika biashara
by onlineprofits
Online Profits

©2010-2017 SmartTheme. All Rights Reserved.

WordPress Theme by OptimizePress